
Usiku wa may 23 Diamond platnumz na team yake ya Wcb_Wasafi wamepiga show ya kata kiu ya birudani jijini Mwanza katika Uwanja wa Ccm Kirumba . Show imekwenda kwa jina la JEMBEKA ikiwa ni Uzinduzi rasmi wa JEMBE fm 93.7 jijinin humo . Watu wa Mwanza wametoa love ya kutosha amabaada ya mchana ambapo Diamond alikwenda kukagua jukwaa na kukuta watu wengi wanamsubiri ambapo Platnumz alibidi apande Jukwaani na kuimba kidogo ingawa hawakupenda aondoke .Tazama picha za Diamond Platnumz wakielekea kukagua stage Mchana huo.
Baada ya mchana huo zifuatazo ni picha za kile ambacho kilifanyika Usiku wa show rasmi
ENDELEA KUSOMA HABARI ZETU
No comments:
Post a Comment