Mkongwe wa muziki wa bongo flaver Tanzania Abukari Katwila a.k.a Q chief anatarajia kuachia video mpya ya wimbo wake wa #For you ambao ulitoka Mwezi December mwaka 2014 ikiwa ni baada ya ukimya wa muda mrefu.Video imefanyika nje ya Tanzania lakini imeongozwa na Director wa Bongo #Adam Juma wa Nextlevel.Tazama kipande kidogo cha video hiyo ambacho kinaashiria kuwa kaa mkao wa kula........
Endelea kufuatilia Habari zetu kila siku za wiki.
No comments:
Post a Comment