
Rapper mdogo Tanzania ambaye anafanya vizuri sana katika kiwanda cha muziki wa Bongo flaver Tanzania kwernye hip hop Young killer Msodoki baada ya kuonesha kwamba mapokezi ya muziki wake yapo vizuri ameamua kuweka wazi mahusiano yake wazi na kuweka picha mtandaoni . kuweka pia ukurasa wake wa instagram Young killer ameandika "Eee MUNGU NASHUKURU KWA KIDOGO #ULICHO NIPA ###AND # Miss U SANA WEWE APO @miss_hip_hop @miss_hip_hop
Picha hapo juu inamuonesha yule pambo wa mdo wa hip hop Tanzania .yeye anamwita #miss hip hop . hivi karibuni Young killer ameachia Video ya Ngoma yake mpya #Mungu baba ambayo amewashirikisha Ommy dimpoz. Linah na Rruma ndani Itazame Video hapo chini
No comments:
Post a Comment