Team nzima ya Wasafi classic ikiongozana na Raisi wake Diamond platnumz leo imedondoka jijini Mwanza kwaajili ya show kubwa ambayo inatarajiwa kufanyika kesho May 23 katika Uwanja wa mpira wa CCM Kirumba jijini humo. Platnumz amepata mapokezi yasiyo na kifani kutoka kwa mashabiki na wapenzi wa muziki jijini humo jambo ambalo linatajwa ku break the internet kulingana na mamia ambao walijitokeza kumpokea mkali huyo pamoja na team yake nzima.
Show ya #JEMBEKA ambayo imeanza kupewa promo kwa muda mrefu .kwakupitia akaunti yake ya instagram Platnumz aliweka picha hapo juu nakuandika post ifuatayo "MWANZA!!! NAAHENE LULU!!....Ebwana kesho Mapema Mmanyema Naingizana jijini.....kwaajili ya juma mosi kukisanua pale CCM Kirumba na Magaidi wenzangu toka @wcb-wasafi NI CHECHE"
Tazama picha za mapokezi hapo chini................................





No comments:
Post a Comment