Mtangazaji wa clouds fm katika kipindi cha XXL mwana dada Fatuma Hassan au dj Fetty kama ambavyo ilivyo zoweleka. leo amefunguka dhidi ya jambo ambalo lilikuwa kama duku duku kwa mashabiki wake katika utangazaji anao ufanya . Ndani kipindi kirefu kidogo kilicho pita dj Fetty alikuwa asikiki hewani kwakupitia kipindi cha Xxl na Soso fresh ambacho nikipindi chake mwenyewe katika radio hiyo .
Ukimya wa mtangazaji huyo ulizuwa maswali mengi kwa mashabiki wake ambapo wakiwa wanahoji kwakupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuhusu tetesi ambazo zina uvumi wa kuwa huenda amehama clouds. leo kwakupitia ukurasa wake wa instagram dj fetty ameandika maneno kama ifuatavyo............
Nakuandika "sijui nani / kina nani wameandika au kusema. but naona swali nimeulizwa na watu wengi . Naomba nijibu kiufupi tu..........SIJAONDOKA CLOUDS. NIPO NILIKUWEPO na NITAENDELEA KUWEPO . Nikiondoka clouds ujuwe nimeacha kabisa kazi ya UTANGAZAJI.............Asanteni kwa kuuliza mbarikiwe" Alimaliza hivyo
No comments:
Post a Comment