Social Icons

Pages

Sunday, 17 May 2015

Abdul Kiba na Ruby wavunja ukimya. Fununu za wachora kuwa ni alhamisi ya wiki ijayo_ _ _






















Msanii Abudul Saleh kiba a.k.a Abdul kiba anatarajia kuachia ngoma mpya siku ya alhamisi may 21 ambapo katika ngoma hiyo amemshirikisha mwana dada Super Nyota diva wa 2014 Ruby ambaye ni mpya katika game na anafanya poa sana katika industry hii kwa sasa_ _ _ _





















Kwa kupitia ukurasa wa Instagram wa msanii Abdul kiba amepost picha hapo juu na kuandika 5 days left. hata hivyo kaka yake hit maker wa #chekecha cheketua Alikiba katika ukurasa wake wa Instagram ameweka picha hiyo hiyo na kuandika 5 days left . Kumbukumbu inaonesha kuwa kwa mara ya mwisho Abdul kiba alisikika kwakupitia wimbo wa #Pita mbele ambao yupo yeye na Alikiba kama kiba square . Kaa mkao wa kula bumu jipya njiani

No comments:

Post a Comment

 
Blogger Templates