
Mwana dada chipukizi katika muziki wa bongo flavour Tanzania Asia Mjun kwakupitia kipindi cha Ala za Roho cha C louds fm amefunguka kuhusu historia yake ya muziki mpaka kujiunga na Tanzania House of Talent (THT ). Asia ambaye aliambatana na mpenzi wake Rama Mnaye. hakusita kubainisha mwanzo wa safari yake ya muziki "Nilianza muziki mwaka 2007. THT Nilienda kwaajili ya kuimba nikafanyiwa testing nikaambiwa bado. siku kata tamaa kwa sababu nilikuwa napenda kuimba nikaingia kwa njia ya kucheza nikapita nikakaa almost miaka mitatu after hapo nikaendelea kucheza THT huku nikijifunza muziki pembeni pembeni. mwisho wasiku walimu wakaniona na boss akaniona wakasema kwanini usiingie darasani ndo mwanzo wa safari yangu ya kuimba ilipoanzia hapo.
Asia hakufika namna ambavyo alivyo kutana na Mpenzi wake "ahaa sijuwi kwasababu yeye anasema alianza kuniona kitambo wakati napita kuelekea THT akawa ananimezea mate mwenyewe Umesha sema watoto wa kihaya tumeumbika.
Miaka minne katika Uhusiano "niliwahi katika Mapenzi".Asia ameweka wazi kuwa Mume wake ndio meneja wake ambapo akazungumzia wimbo wake mpya wa # Nimetulia naye ambao wanatarajia kuuachia kwenye mitandao ijumaa tatu ya wiki ijayo.
No comments:
Post a Comment