Social Icons

Pages

Wednesday, 29 April 2015

Vanessa Mdee;Thank you for the love and the 3.......

Mwanadada Vanessa Mdee ametoa shukrani kwa mashabiki wake wa Tanzania baada ya kuteuliwa kuwania Tuzo za KTMA katika vipengele vitatu (3)
historia inaonesha kuwa tangu afanikiwe kuchukua Tuzo kama Best female of East kwakupitia Tuzo za AFRIMA mwaka jana,milango ya mafanikio kwa mwanadada Vanessa Mdee imezidi kufunguka ambapo hivi karibuni alifanikiwa kufanya kolabo na msanii mkubwa kutoka Afrika Kusini #KO
Leo kwakupia akaunti yake ya instagram Vanessa ameandika ujumbe ikiwa kama sehemu ya shukrani kwa mashabiki wake "Thank you for the love and the three nominations at the Kilimanjaro Tanzania Music Awards Amazing feeling to be appreciated and aknowledge".Hii ni baada ya list ya nominees na nominations kwa upunde wa KTMA kutangazwa rasmi leo.

No comments:

Post a Comment

 
Blogger Templates