Social Icons

Pages

Thursday, 21 May 2015

Kuhusu kumbukumbu za kuzama kwa Meli ya MV BUKOBA. watu mbali mbali wame post mtandaoni












Leo Tanzania inaadhimisha miaka 19 tangu kutokea kwa ajali mbaya ya meli ya MV BUKOBA ambayo ilitokea mnamo mwaka 1996 mwezi na tarehe kama ya leo ambapo ikiwa ni pigo kubwa kwa watanzania hasa baada ya kuwapoteza ndugu. jamaa. na marafiki katika ajali hiyo . Leo nakusogezea post mbali mbali za mastaa ambao wameandika kwakupitia kurasa zao za instagram kuhusu kumbu kumbu ya kuzama kwa Meli ya MV BUKOBA .@Mwana fa_miaka 19......Mungu anamakusudio yake kwa kila analoamua......wapumzike kwa amani . @Vanessa Mdee _# with strong Girls in praying with you @flaviana matata_on may 21st 1991. Tanzania encountered an overwheliming tragedy when Mv Bukoba ship sank leading to the lost of hundred of lives.one of them being my dearly beloved mother. May the Almighty God rest their souls in eternal peace. It also a day to remind and emphasize ourselves on the significance of routine marine vehicle safety inspection . (May 21.1996 Tanzania ilipatwa na msiba mkubwa. mamia ya watu akiwemo mama yangu mzazi alipoteza maisha kwenye ajali ya #Mv Bukoba . Mwenyezi Mungu aendelee kuzilaza roho zao mahali pema peponi .Siku hii pia itukumbushe usalama wa vyombo vya majini) #MV BUKOBA 19 #may 21 #Hatutosahau.

No comments:

Post a Comment

 
Blogger Templates