
Mkali Diamond platnumz akiwa na team yake ya WCB walipiga show kubwa usiku wa May 16 kuamkia May 17 pande za Royal Legency London nchini Uingereza . Show ilipata kuhudhuriwa na raia wengi kutoka Afrika Mashariki ambao wanaishi UK.Zifuatazo ni picha mbalimbali za matukio yaliyo kuwa yakiendelea nchini Uingereza katika tour ya mkali huyo na team yake nzima..
Picha Diamond platnumz akiwa na team yake #Babu Tale & #Rommy Jonsony kitaani pande za UK
No comments:
Post a Comment