Social Icons

Pages

Saturday, 16 May 2015

Zari the boss lady kuja na nyingine kubwa kuliko baada ya all white party.


















Mwana dada Zari aja kimtindo msimu huu na kwakuanzia tu anatarajia kusaka wanamitindo nchini Rwanda mnamo mwezi wa sita . Zari ameonesha kuwa yeye ndio msichana wa kwanza kuwaza na kusimamia idea yake katika ujio huo mpya wa RIFAW yaani Rwanda international Fashion World


















Tukio la kusaka wanamitindo nchini Rwanda linatarajiwa kufanyika tarehe 27 mwezi wa sita (6) mwaka 2015 na kwenda kwa jina la Rwanda Fashion World Event. kwakupitia akaunti yake ya instagram Zari ame post kuwa "Rwanda are you ready for the 1st Edition of the Rwanda Fashion World event on the 27 of June 2015 hosted by the one and only East African's BOSS LADY ."




No comments:

Post a Comment

 
Blogger Templates