Msanii diamond platinumz ambaye hivi karibuni alielekea nchini uingereza kwaajili ya show yake kubwa iliyopewa jina la Diamond Are forever . akiwa bado yupo nchini humo ameweka picha katika ukurasa wa instagram picha ambayo inamuonesha akiwa anasukuma kigari cha kuwa bebea watoto wa dogo katika matembezi na kuandika "Anything for my little angel......"

Muda mfupi baada ya post hiyo kuwekwa raia baadhi walianza kumshambulia kwakuandika maoni tofauti tofauti kulingana na picha hiyo hapo juu kama ifuatavyo:-
Primayapili Subiri uone jinsi mwanao atakavyochezewa na wavulana kama ulivyo chezea wengi . Malipo chini ya jua. what goes around come around.
Thomas minja Bwege
tayana ate ujuwe wewe # chibu nikilazaaa unaanzaje kununua vitu vya mtt ambaye yuko tumboni babooo je akifa au akizaa mjusi ??? Mxiiiiiiuh mtt my foooot
Huo ulikuwa ni upande wa kwanza wa sarafu wa watu ambao hawakupendezwa na post hiyo. katika upande mwingine wa sarafu mashabiki nao walifunguka kama ifuatavyo :-
Janeth.david 9480 Unamtukana chibu wakati we na shobo zako ndo ume mfollow ......ha hahaaa! Mi wote nico wakubali hata cjawa follow......kaz mnayo nyie mnaotukana huku mnamkubali kimoyomoyo @diamond platinumz mazingi furi hao.
Simonsohgi Dzaini kama wengine wamepanik iv...... Chibu Fanya yko jamaa
Salhiya juma keep it up chibu no matter wats
Wahona wakona Achana nao wenye wivu mtakufa wenyewe na presha.
Na hivyo ndivyo ilivyo kuwa mtu wangu katika mtaa wa mtandaoni Instagram . Endelea kuifuatilia hillabreeze.blogspot.com
No comments:
Post a Comment