
Mkali kutoka Endless fame Mirror anatarajia kuachia ngoma mpya hivi karibuni. mkali huyo ambaye kwa mara ya mwisho alisikika kwakupitia hit song yake ya # Kolokolo. hivi punde wapenzi na mashabiki wa msanii huyo watapata kusikia ujio wake mpya wa # Hapo ulipo
Tarehe ya kuachiwa kwa ngoma hiyo inatajwa kuwa ni tarehe 25.05.2015 ambayo imebainishwa na post ya mkurugenzi wa Endless fame ambaye pia ni meneja wa msanii huyo. mwana dada Wema sepetu ambaye ameweka bayana kwakupitia instagram yake "Bas saweeerr Mirror Mirror...........loading..........Alafu sasa ni siku ya Bday yake aswell........Wish u nothing but the best......@mirror26 @mirror26 @mirror26 ". amemaliza hivyo Uwepo wa post hiyo umemaanisha kitu kimepikwa tayari kupakuliwa. hivyo tukae mkao wa kula.
No comments:
Post a Comment