Saturday, 23 May 2015
Jokate na Alikiba mambo hadharani sasa
Pamekuwa na uvumi wa muda mrefu kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya hitmaker wa #Leo leo mwana dada Jokate Magelo na King kiba a.k.a alikiba hitmaker wa #Chekecha cheketua. swala ambalo kwa upande wao imekuwa ngumu kubainisha ukweli na kuweka wazi. Leo Jokate amepost picha mbili kwakupitia ukurasa wake wa Instagram. ambapo moja ni selfie ya kwake na alikiba na nyingine Alikiba yupo studio.
Picha hapo juu imezidi kujenga imani kwa mashabiki wa wasanii hao ama baada ya mwana dada Jokate kuweka picha na kusindikiza na ujumbe "studio vibes" huku akiweka na icon ya love swala ambalo limeendelea kuwajengea dhana ya kuwa huenda ni wapenzi kweli. lakini pia kwakupitia ukurasa wake wa instagram Jokate a.k.a kidoti amekuwa akipost sana kumuombea kura msanii Alikiba katika Tuzo za Watu . Hali hiyo ni dhahiri na inawafanya watu waamini kama kuna kitu kinaendelea kati ya wawili hao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment