Social Icons

Pages

Saturday, 16 May 2015

Vanssa Mdee awapiku wanamuziki wengi wa kike Tanzania













Mwana dada Vanessa mdee ambaye ni mwimbaji na mtangazaji hivi karibuni ameonekana kuwa nyota mkubwa kwa wasanii wa kike nchini Tanzania .hii ni baada ya yeye kufanikiwa kuiwakirisha vyema bendera ya Tanzania nje mipaka na kushirikiana na wasanii wakubwa wa kike na kiume barani Afrika .
Vanessa mdee amekuwa mmoja wa wasanii wa kike barani Afrika ambao wanaiunda kampeni  ya #strong girl ambapo ameungana na wasanii wengine wakubwa barani Afrika kama #Yemi Alade .Victoria Kimani .Waje. na wengi nakufanikiwa kutoa wimbo wa pamoja ambao unaitwa #Strong girl .dhamira ya kampeni hiyo ni kumpa nguvu msicha wa kiafrika na kumuonesha kuwa anaweza .
Kwakupitia ukurasa wake wa insagram Vanessa ameandika "Do me afavour if you are #with strong Girls tags strong Girls. Here is afew " ambapo yeye akawa tag @Victoria kimani @Officiall waje @Judith sephuma @gabrielasongs na wengine baadhi . Tanzania Video ya wimbo wao hapo chini

No comments:

Post a Comment

 
Blogger Templates