
Msanii Christian bella a.k.a the best melody kama anavyojiita yeye mwenyewe leo ameelekea katika interview Timesfm jijini Dar es salaam.Christian bella hakusita kuongozana mwanaye ambaye anaitwa #Hans bella boss katika gari moja.angalia katika picha hapo chini
Mkali huyo ambaye kwa sasa bado anafanya poa sana katika ngoma mbili ambazo ni #Nashindwa hit yake mwenyewe imetoka hivi karibuni na #Subira ya Casim Mganga ambapo Christian bella ameshirikishwa .Pia Christian bella ni miongoni mwa wasanii ambao wanawania katika kinyang'anyiro cha Tuzo za KIlimanjaro yaani KTMA 2015.
No comments:
Post a Comment