Social Icons

Pages

Sunday, 8 March 2015

Diamond platnumz kupiga show Nigeria weekend hii katika usiku wa Tuzo za AMVCA Nigeria

Mkali ambaye ameendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania kwa kasi kubwa nje ya mipaka ya Afrika Mashariki Diamond platnumz,alidondoka nchini nigeria kwaajili ya show ya utoaji tuzo za AMVCA,tuzo zinazo husu tasnia ya filamu Afrika ambazo zimefanyika usiku wa March 07/2015 huko Nigeria.Team wasafi yaani WCB ilipost picha katika mtandao wa instagram zinazo muonesha Diamond akihojiwa na vyombo vya habari Nigeria kabla ya kwenda kukagua stage.picha
 Diamond akihojiwa na waandishi wa habari
mtu mzima Dangote akikagua stage katika hatua ya mwisho.

No comments:

Post a Comment

 
Blogger Templates