Social Icons

Pages

Tuesday, 2 June 2015

TAZAMA VIDEO MPYA YA IYANYA FT DIAMOND PLATNUMZ #NAKUPENDO











Baada ya siku kadhaa kupita hatimaye wale wakali kwenye Joint moja Iyanya kutoka Nigeria na Diamond platnumz akiiwakirisha Afrika Mashariki na Tanzania leo wameachia video ya collabo yao #Nakupenda. Video imefanyika nchini Nigeriaw na kuongozwa na Mnigeria.Tazama video hiyo hapa chini bila kusahau kuacha maoni yako.....















KARIBU NA ENDELEA KUFUATILIA HABARI ZETU

Sunday, 24 May 2015

MWANZA : PLATINUMZ NI ZAIDI YA MSANII . MAMIA WAIJAZA CCM KIRUMBA .



















Usiku wa may 23 Diamond platnumz na team yake ya Wcb_Wasafi wamepiga show ya kata kiu ya birudani jijini Mwanza katika Uwanja wa Ccm Kirumba . Show imekwenda kwa jina la JEMBEKA ikiwa ni Uzinduzi rasmi wa JEMBE fm 93.7  jijinin humo . Watu wa Mwanza wametoa love ya kutosha amabaada ya mchana ambapo Diamond alikwenda kukagua jukwaa na kukuta watu wengi wanamsubiri ambapo Platnumz alibidi apande Jukwaani na kuimba kidogo ingawa hawakupenda aondoke .Tazama picha za Diamond Platnumz wakielekea kukagua stage Mchana huo.






































Baada ya mchana huo zifuatazo ni picha za kile ambacho kilifanyika Usiku wa show rasmi























ENDELEA KUSOMA HABARI ZETU

Saturday, 23 May 2015

KITUKO CHA LINEX SUNDAY MJEDA INSTAGRAM

















Mapenzi yamekuwa yakichukuwa headlines kubwa duniani ambapo asilimia kubwa nikutendwa na kuendeshwa kisa mapenzi ya dhati kwa mwenza . Kiukweli tukiachana na pesa  mapenzi yanatengenezewa vituko vingi ambavyo ni kama sehemu ya kufurahisha-kujifunza na kuonesha ulimwengu kwa vile ambavyo vinaendelea kutokea duniani . Leo msanii hitmaker wa #salima aliyo mshirikisha Diamond  Linex kwakupitia instagram yake ameweka picha ambayo nikituko nakuandika kama ifuatavyo........................
















"Dear Girl friend naweza kuwa nakupenda sana lakini sio kwa upendo huu ". Ambapo post hiyo ikafuatiwa na comments nyingi kama ifuatavyo
@Zena_kambi-Hiyo ni mahaba niuwe . noma sana
@Kyoma.elia-Hii kali
@Minah_minaj-Tunapenda kunyenyekewa kweli.
@Josiajames57-Duuuh!!! hii balaa
@Erick4real-Hakuna kiivo bora ni mteme .
ENDELEA KUFUATILIA HABARI ZETU KILA SIKU ZA WIKI

Q CHIEF MBIONI KUACHIA BOMU LA MAANGAMIZI ADAM JUMA WA NEXTLEVEL NDANI
















Mkongwe wa muziki wa bongo flaver Tanzania Abukari Katwila  a.k.a Q chief anatarajia kuachia video mpya ya wimbo wake wa #For you ambao ulitoka Mwezi December mwaka 2014 ikiwa ni baada ya ukimya wa muda mrefu.Video imefanyika nje ya Tanzania lakini imeongozwa na Director wa Bongo #Adam Juma wa Nextlevel.Tazama kipande kidogo cha video hiyo ambacho kinaashiria kuwa kaa mkao wa kula........














Endelea kufuatilia Habari zetu kila siku za wiki.

Jokate na Alikiba mambo hadharani sasa



















Pamekuwa na uvumi wa muda mrefu kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya hitmaker wa #Leo leo mwana dada Jokate Magelo na King kiba a.k.a alikiba hitmaker wa #Chekecha cheketua. swala ambalo kwa upande wao imekuwa ngumu kubainisha ukweli na kuweka wazi. Leo Jokate amepost picha mbili kwakupitia ukurasa wake wa Instagram. ambapo moja ni selfie ya kwake na alikiba na nyingine Alikiba yupo studio.



















Picha hapo juu imezidi kujenga imani kwa mashabiki wa wasanii hao ama baada ya mwana dada Jokate kuweka picha na kusindikiza na ujumbe "studio vibes" huku akiweka na icon ya love swala ambalo limeendelea kuwajengea dhana ya kuwa huenda ni wapenzi kweli. lakini pia kwakupitia ukurasa wake wa instagram Jokate a.k.a kidoti amekuwa akipost sana kumuombea kura msanii Alikiba katika Tuzo za Watu . Hali hiyo ni dhahiri na inawafanya watu waamini kama kuna kitu kinaendelea kati ya wawili hao

Tuzo za Watu : Alikiba aibuka kidete na kufanya mapinduzi makubwa .
















Usiku wa May 22 umefanyika mchakato wa utoaji Tuzo za watu ambao ulifanyika katika ukumbi wa Hyatt Regency Hotel jijini Dar es salaam . Hii ni baada ya mchakato huu kuchukuwa muda mrefu kwa wananchi kuwapigia kura wale walikuwa ndio Nominees katika Tuzo hizo kwa takribani muda wa wiki kadhaa zilizopita . Tuzo za watu zinaadhimishwa na mtandao wa Bongo 5 na majaji wake huwa wananchi wenyewe ambao ndo wanapendekeza na kupiga kura mpaka kupatikana mshindi . Baada ya utoaji Tuzo kufanyika  #Alikiba aliibuka msanii bora wa kiume anayependwa zaidi Tanzania aliuwa na mastaa wengine katika nafasi zao.............
Vipengele vya kushindania vilikuwa takribani kumi na mbili (12) ambapo ni pamoja na #Muigizaji bora wa filamu wa kike #Muigizaji bora wa filamu wa kiume #Muongozaji bora wa filamu #Kipindi cha runinga #Kipindi cha redio #Mtangazaji wa runinga anaye pendwa #Mtangazaji wa redio #Msanii wa kiume anaye pendwa #Video bora #Msanii bora wa kike #Muongozaji wa Video #Tovuti bora . Baada ya mchakato mzima wa upigaji kura kufanyika wafuatao ndio waliibuka washindi katika nafasi zao................
# Muongozaji bora wa filamu



















Vient kigosi a.k.a Ray
#Muigizaji bora wa kike



















Wema sepetu 
#Muigizaji bora wa kiume















Hemed suleiman


#Kipindi bora cha runinga


















Mkasi - cha Salama Jabiri

#Kipindi bora cha redio



















Papaso TBC fm cha DJaro Arungu
#Mtangazaji wa runinga anayependwa










Salim kikeke - Hidaya ya kiswahili Bbc
#Mtangazaji wa redio anayependwa



















DJaro Arungu - Papaso TBC fm 

#Msanii bora wa kiume anayependwa












Alikiba - hitmaker wa #Chekecha cheketua
#Msanii bora wa kike anayependwa














Lady Jay Dee - hitmaker wa #Forever
#Video bora inayopendwa



















Nani kama mama - Christian bella ft Ommy dimpoz
#Muongozaji bora


















Hans cana

#Tovuti bora










Mllardayo.com - Millard ayo 

Friday, 22 May 2015

Diamond platnumz Mapokezi kama Raisi jijini Mwanza

















Team nzima ya Wasafi classic ikiongozana na Raisi wake Diamond platnumz leo imedondoka jijini Mwanza kwaajili ya show kubwa ambayo inatarajiwa kufanyika kesho May 23 katika Uwanja wa mpira wa CCM Kirumba jijini humo. Platnumz amepata mapokezi yasiyo na kifani kutoka kwa mashabiki na wapenzi wa muziki jijini humo jambo ambalo linatajwa ku break the internet kulingana na mamia ambao walijitokeza kumpokea mkali huyo pamoja na team yake nzima.
















Show ya #JEMBEKA ambayo imeanza kupewa promo kwa muda mrefu .kwakupitia akaunti yake ya instagram Platnumz aliweka picha hapo juu nakuandika post ifuatayo  "MWANZA!!! NAAHENE LULU!!....Ebwana kesho Mapema Mmanyema Naingizana jijini.....kwaajili ya juma mosi kukisanua pale CCM Kirumba na Magaidi wenzangu toka @wcb-wasafi NI CHECHE"
Tazama picha za mapokezi hapo chini................................






















Mirror kuja na kitendawili #Hapo ulipo 25.05.2015.



















Mkali kutoka Endless fame Mirror anatarajia kuachia ngoma mpya hivi karibuni. mkali huyo ambaye kwa mara ya mwisho alisikika kwakupitia hit song yake ya # Kolokolo. hivi punde wapenzi na mashabiki wa msanii huyo watapata kusikia ujio wake mpya wa # Hapo ulipo















Tarehe ya kuachiwa kwa ngoma hiyo inatajwa kuwa ni tarehe 25.05.2015 ambayo imebainishwa na post ya mkurugenzi wa Endless fame ambaye pia ni meneja wa msanii huyo. mwana dada Wema sepetu ambaye ameweka bayana kwakupitia instagram yake "Bas saweeerr Mirror Mirror...........loading..........Alafu sasa ni siku ya Bday yake aswell........Wish u nothing but the best......@mirror26 @mirror26 @mirror26 ". amemaliza hivyo Uwepo wa post hiyo umemaanisha kitu kimepikwa tayari kupakuliwa. hivyo tukae mkao wa kula. 

Thursday, 21 May 2015

Kuhusu kumbukumbu za kuzama kwa Meli ya MV BUKOBA. watu mbali mbali wame post mtandaoni












Leo Tanzania inaadhimisha miaka 19 tangu kutokea kwa ajali mbaya ya meli ya MV BUKOBA ambayo ilitokea mnamo mwaka 1996 mwezi na tarehe kama ya leo ambapo ikiwa ni pigo kubwa kwa watanzania hasa baada ya kuwapoteza ndugu. jamaa. na marafiki katika ajali hiyo . Leo nakusogezea post mbali mbali za mastaa ambao wameandika kwakupitia kurasa zao za instagram kuhusu kumbu kumbu ya kuzama kwa Meli ya MV BUKOBA .@Mwana fa_miaka 19......Mungu anamakusudio yake kwa kila analoamua......wapumzike kwa amani . @Vanessa Mdee _# with strong Girls in praying with you @flaviana matata_on may 21st 1991. Tanzania encountered an overwheliming tragedy when Mv Bukoba ship sank leading to the lost of hundred of lives.one of them being my dearly beloved mother. May the Almighty God rest their souls in eternal peace. It also a day to remind and emphasize ourselves on the significance of routine marine vehicle safety inspection . (May 21.1996 Tanzania ilipatwa na msiba mkubwa. mamia ya watu akiwemo mama yangu mzazi alipoteza maisha kwenye ajali ya #Mv Bukoba . Mwenyezi Mungu aendelee kuzilaza roho zao mahali pema peponi .Siku hii pia itukumbushe usalama wa vyombo vya majini) #MV BUKOBA 19 #may 21 #Hatutosahau.

Wiz Kid Official Video Expensive H*T













Leo naku sogezea Video ya wimbo mpya wa mkali kutoka Nigeria  # Wiz Kid. ngoma inaitwa # Expensive hit ambapo video imefanyika nchini Afrika kusini na kuongozwa na director wa Nigeria Seasan.. tazama hapo chini.............

Asia Mjun; Nimeanza kufanya Mapenzi Bado Mapema Sana







Mwana dada chipukizi katika muziki wa bongo flavour Tanzania Asia Mjun kwakupitia kipindi cha Ala za Roho cha C louds fm amefunguka kuhusu historia yake ya muziki mpaka kujiunga na Tanzania House of Talent (THT ). Asia ambaye aliambatana na mpenzi wake Rama Mnaye. hakusita kubainisha mwanzo wa safari yake ya muziki  "Nilianza muziki mwaka 2007. THT Nilienda kwaajili ya kuimba nikafanyiwa testing nikaambiwa bado. siku kata tamaa kwa sababu nilikuwa napenda kuimba nikaingia kwa njia ya kucheza nikapita nikakaa almost miaka mitatu after hapo nikaendelea kucheza THT huku nikijifunza muziki pembeni pembeni. mwisho wasiku walimu wakaniona na boss akaniona wakasema kwanini usiingie darasani ndo mwanzo wa safari yangu ya kuimba ilipoanzia hapo.
Asia hakufika namna ambavyo alivyo kutana na Mpenzi wake "ahaa sijuwi kwasababu yeye anasema alianza kuniona kitambo wakati napita kuelekea THT akawa ananimezea mate mwenyewe Umesha sema watoto wa kihaya tumeumbika.
Miaka minne katika Uhusiano "niliwahi katika Mapenzi".Asia ameweka wazi kuwa Mume wake ndio meneja wake ambapo akazungumzia wimbo wake mpya wa # Nimetulia naye ambao wanatarajia kuuachia kwenye mitandao ijumaa tatu ya wiki ijayo.

Wednesday, 20 May 2015

Diddy na Drake waamua kuweka vita yao chini















Wakali wa hip hop nchini Marekani waamua kuweka vita yao chini na kuwa kitu kimoja baada ya kuwa na beef  la muda mrefu. kwa mujibu wa chanzo cha habari nchini Marekani TMZ wame rioti kuwa "Now we know why Diddy and Drake declared a truce......they decide peace can be highly profitable for both of them. We found out the former enemies met at 1:00AM  Monday at Mel's Drive In west Hollywood......just the 2 of them. and of course their bodyguards.
We're told the chat was all about creating a joint venture with both of their names.They kicked around everything from clothing. to jewelry to cigars. They did not zero in on a product line but agreed that it
would be mutually beneficially for them to partiner.
 Now it's clear why Diddy and Drake got on the phone last month to settle their war that erupted over Drake's song. '0 to 100"'. walimaliza hivyo

Dj fetty : Nikiandika clouds ujuwe nimeacha kabisa kazi ya kutangaza .





















Mtangazaji wa clouds fm katika kipindi cha XXL mwana dada Fatuma Hassan au dj Fetty kama ambavyo ilivyo zoweleka. leo amefunguka dhidi ya jambo ambalo lilikuwa kama duku duku kwa mashabiki wake katika utangazaji anao ufanya . Ndani kipindi kirefu kidogo kilicho pita dj Fetty alikuwa asikiki hewani kwakupitia kipindi cha Xxl na Soso fresh ambacho nikipindi chake mwenyewe katika radio hiyo .
Ukimya wa mtangazaji huyo ulizuwa maswali mengi kwa mashabiki wake ambapo wakiwa wanahoji kwakupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuhusu tetesi ambazo zina uvumi wa kuwa huenda amehama clouds. leo kwakupitia ukurasa wake wa instagram dj fetty ameandika maneno kama ifuatavyo............




















Nakuandika "sijui nani / kina nani wameandika au kusema. but naona swali nimeulizwa na watu wengi . Naomba nijibu kiufupi tu..........SIJAONDOKA CLOUDS. NIPO NILIKUWEPO na NITAENDELEA KUWEPO . Nikiondoka clouds ujuwe nimeacha kabisa kazi ya UTANGAZAJI.............Asanteni kwa kuuliza mbarikiwe" Alimaliza hivyo

Tuesday, 19 May 2015

Diamond Platinumz ashambuliwa Instagram baada ya post moja kutokea...........





















Msanii diamond platinumz ambaye hivi karibuni alielekea nchini uingereza kwaajili ya show yake kubwa iliyopewa jina la Diamond Are forever . akiwa bado yupo nchini humo ameweka picha katika ukurasa wa instagram picha ambayo inamuonesha akiwa anasukuma kigari cha kuwa bebea watoto wa dogo katika matembezi na kuandika "Anything for my little angel......"

















Muda mfupi baada ya post hiyo kuwekwa raia baadhi walianza kumshambulia kwakuandika maoni tofauti tofauti kulingana na picha hiyo hapo juu kama ifuatavyo:-
Primayapili Subiri uone jinsi mwanao atakavyochezewa na wavulana kama ulivyo chezea wengi . Malipo chini ya jua. what goes around come around.
Thomas minja Bwege
tayana ate ujuwe wewe # chibu nikilazaaa unaanzaje kununua vitu vya mtt ambaye yuko tumboni babooo je akifa au akizaa mjusi ??? Mxiiiiiiuh mtt my foooot
Huo ulikuwa ni upande wa kwanza wa sarafu wa watu ambao hawakupendezwa na post hiyo. katika upande mwingine wa sarafu mashabiki nao walifunguka kama ifuatavyo :-
Janeth.david 9480 Unamtukana chibu wakati we na shobo zako ndo ume mfollow ......ha hahaaa! Mi wote nico wakubali hata cjawa follow......kaz mnayo nyie mnaotukana huku mnamkubali kimoyomoyo @diamond platinumz mazingi furi hao.
Simonsohgi Dzaini kama wengine wamepanik iv...... Chibu Fanya yko jamaa
Salhiya juma keep it up chibu no matter wats
Wahona wakona Achana nao wenye wivu mtakufa wenyewe na presha.
Na hivyo ndivyo ilivyo kuwa mtu wangu katika mtaa wa mtandaoni Instagram . Endelea kuifuatilia hillabreeze.blogspot.com

Sauti sol watishia kuchukuwa Tuzo BET Africa 2015.
















Kundi la Sauti sol kutoka nchini kenya limetajwa kuwania Tuzo za BET 2015. ambapo ni Tuzo ambazo msanii Diamond platinumz kutoka Tanzania aliwahi kutajwa kuwa mshiriki wa Tuzo hizo kwa mwaka wa 2014. kundi hilo limetajwa kushiriki katika kipengele cha BEST INTERNATIONAL ACT:AFRICA ambapo katika kipengele hicho alikuwepo Diamond platinumz mwaka jana
Sauti sol wamekuwa pekee kutoka Afrika Mashariki na hakuna msanii mwingine ambaye amepata nafasi ya kuwa mshiriki katika tuzo hizo
katika kipengele hicho Sauti sol watachuana kama ifuatavyo.
#AKA (SOUTH AFRICA)
#FALLY IPUPA (DRC CONGO)
#SAKODIE (GHANA)
#STONE BWOY (SOUTH AFRICA)
#THE SOIL (SOUTH AFRICA)
WIZKID (NIGERIA)
#YEMI ALADE (NIGERIA)
Wasanii mbalimbali wameoneshwa kufurahishwa na uteuzi huo kwa upande wa Sauti sol. ambapo kwa kupitia ukurasa wake wa instagram mwana dada Vanessa mdee ameandika "So proud of my brothers @sauti sol #Award season #BET Awards15 #Nominies"
Diamond platinumz kwakupitia instagram yake ameandika "S/O to my brothers @sauti sol for the BET Nomination.......trust me ! this award is coming to East now !! Mwenyezi mungu tusimamie.
Wasanii wengine ambao watashiriki katika Tuzo hizo ni kama ifuatavyo hapo chini
BEST FEMALE R&B POP ARTIST
#BEYONCE
#CIARA
#JANELLE MONAE
#JHENE AIKO
#K.MICHELLE
#RIHANNA

BEST MALE R&B POP ARTIST
#AUGUST ALSINA
#CHRIS BROWN
#JOHN LEGEND
#THE WEEKEND
#TREY SONGZ
#USHER

BEST GROUP
#A$AP MOB
#JODECI
#MIGOS
#RAE SREMMURD
#RICH GANG
#YOUNG MONEY

BEST COLLABORATION
#AUGUST ALSINA F/ NICKI MINAJ -NO LOVE (REMIX)
#BIG SEAN F/E - IDFWU
#CHRIS BROWN F/ LIL WAYNE & TYGA - LOYAL
#CHRIS BROWN F/ USHER & RICK ROSS - NEW FLAME
#COMMON & JOHN LEGEND - GLORY (FROM THE MOTION PICTURE "SELMA"
#MARK RONSON F/ BRUNO MARS - UP TOWN FUNK

BEST MALE HIP HOP ARTIST
#BIG SEAN
#COMMON
#DRAKE
#J. COLE
#KENDRICK LAMAR
#WALE

BEST FEMALE HIP HOP ARTIST
#AZEALIA BANKS
#DEJ LOAF
#IGGY AZALEA
#NICKI MINAJ
#TINK
#TRINA

VIDEO OF THE YEAR
#BEYONCE -7/11
#BIG SEAN F/ E40 - IDFWU
#CHRIS BROWN F / LIL WAYNE & TYGA - LOYAL
#CHRIS BROWN F / USHER & RICK ROSS - NEW FLAME
#COMMON & JOHN LEGEND

Time ya Kenya sasa Ogaobinna na # Follow Me this wednesday:






















Msanii Ogaobinna ambaye pia ni mtangazaji wa Radio nchini Kenya lakini pia ni mchekeshaji.
 Anatarajia kuachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la # Follow. kwakupitia ukurasa wake wa Instagram Ogaobinna amedhihirisha wazi kuwa siku ya Ijuma tano ataachia audio na video ambayo imeongozwa na # Bosco-films wa kenya .
"Waaaaaampoto !!! There is on the mountain . My brand new  # Follow Me coming out this wednesday !!! Audio @pachoeri / kenya and Video @ bosco-films.Climmmmmmmoooooo!!! you gonna looooove it . #Team Obinna spreed the word Asap.maxmsanii Most def good stuff @Ogaobinna . Iloved *let you go*  n u rem we met in town someday back (@dj dannykenya place) n i Rilly wanted to andastand the lyric on the chorus after * i no gO let you go.  you[......]. ameandika mkali huyo kupitia ukurasa wake wa instagram
 
Blogger Templates