Social Icons

Pages

Saturday, 7 March 2015

Tazama picha za kile kilichokuwa kinaendelea katika show ya Alikiba #Chekecha cheketua pande za Club La Liga #Moshi

March 06/2015 ilifanyika bonge la show la yule Mfalme Kiba ikiwa kama sehemu ya mwanzo wa Tour yake ambayo kwa mara ya kwanza imeanzia mkoani Kilimanjaro katika Club La Liga Moshi,zifuatazo ni picha zinazo onesha kile kilichokuwa kinaendelea pande zile pale....

Picha Alikiba,baba yake Mwana FA & Abdu

kiba akifanya makamuzi on stage
Madada waki Cheketua na Abdu kiba
Yule mkali wa gitaa Pasia Roso dithaa akifanya yake
baadhi ya watu walio hudhuria katika show
konga la watu walio hudhuria katika shwo
Alikiba akifanya yake on stage
Abdu kiba na Pasia Roso wakifanya yao on stage
Abdu kiba akiwa na mwanadada Recho

No comments:

Post a Comment

 
Blogger Templates