Social Icons

Pages

Saturday, 7 March 2015

Alikiba azidi kunesha kuwa yeye ni mfalme wa Bongo flaver Tanzania baada ya show yake ya Moshi #cheke tour

baada ya kufanya poa sana na hit yake ya mwana, Alikiba hivi karibuni alirudi kivingine na ngoma mpya ya chekecha cheketua ngoma ambayo mwanzo wake umeonekana kuwa ni mzuri kulingana na mapokezi kwa mashabiki wake pamoja na media kwa ujumla, sasabasi Alikiba alitangaza rasmi kuanza tour yake ya show kwaku pita katika baadhi ya mikoa nchini akiwa na team yake.
Na ijumaa ya 06/03/2015 Alikiba alianza rasmi tour yake inayo julikana kama chekecha cheke tour mkoni Kilimanjaro, show ilifanyika katika kiwanja cha Club La Liga ambapo kwa mara ya kwanza Alikiba aliipafomu Chekecha cheketua Live huku akitumua vyombo.
Alikiba alisindikizwa na Recho kutoka TH & Abdu Kiba lakini pia palikuwa na special appearence ya wazazi wake Mwana FA yana baba na mama mzazi,Kiba amebainisha kuwa leo ni zamu ya Atown a.k.a Arusha flaaaani ivi.
Salute kwa MillardAyo.com kwa msaada wa picha, endelea kufuatilia blogspot yako kwa infoz zooooooote kali.

No comments:

Post a Comment

 
Blogger Templates