Social Icons

Pages

Monday, 9 March 2015

Tazama kipande kidogo cha video katika show ya Diamond platnumz Nigeria

Usiku wa March 07/2015 ilifanyika show kubwa ya utoaji tuzo za filamu Nigeria ambapo Diamond platnumz alikuwa ni mmoja wa wasanii ambao walikuwa maalumu kwaajili ya kutumbuiza katika stage ya utoaji Tuzo.
Wasanii wengine ambao walihudhuria katika show hiyo kwaajili ya makamuzi on stage ni pamoja na Psquare,2face,Iyanya,wakali wa Doro puchi na wengine wengi.
Tazama kipande kidogo cha show ya Diamond platnumz wakati anaimba hit yake ya Mdogomdogo
Endelea kufuatilia blog yako kwa kila update,tunapatikana #instagram #facebook na #youtube  kwa jina la hillabreeze

No comments:

Post a Comment

 
Blogger Templates