Ni kwa muda sasa muziki wa bongo flaver umekuwa ukiendelea kufanya poa sana na kuvuka mpaka katika mipaka ya Afrika Mashariki,lakini pia imekuwa ni kawaida kwa kituo cha Television Soundcity kinacho patikana Nigeria kurusha list ya Video 10 bora za Afrika Mashariki,good news ni kwamba kwa wale mashabiki wa mkali kutoka Weusi Joh makini time hii video ya hit yake ya XO imekamata nafasi ya Nne (4) kati ya zile 10 wiki hii,itazame hapa......
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment