Social Icons

Pages

Thursday, 12 March 2015

Linex adondosha single mpya na chupa lake aliyo mshirikisha Diamond platnumz

Ni wiki kadhaa zimepita tangu kuwepo kwa uvumi wa kolabo kati ya Diamond platnumz na Linex ambapo Linex aliahidi kuingia tena studio na mtu mzima Diamond kwaajili ya kufanya ngoma nyingine baada ya Taificha wapi ,kolabo ambayo haikufanya poa sana wakati imetoka.
Leo Linex ameachia Audio ya hit yake ambayo inaitwa Salma imefanywa na producer Tuddy Thomas na Video ambayo imeongozwa na Adam Juma Nextlevel.Itazame
 

No comments:

Post a Comment

 
Blogger Templates