Social Icons

Pages

Saturday, 7 March 2015

Siku ya wanawake Duniani

Ni ukweli usiopingika kuwa wanawakw ndio muhimili mkubwa katika jamii,wanafarsafa wengi duniani wamekuwa wakiendelea kutumia farsafa zao dhidi ya kuielimisha jamii kuhusiana na umuhimu wa wanawake katika jamii,kiukweli mwanamke ni chanzo na chachu kubwa ya maendeleo katika jamii na kuna usemi usemao kuwa "ukimuelimisha mwanamke ni sawa na kuwa umeelimisha jamii kwa ujumla",misemo yote hiyo ina dhamira moja tu ya kutuonesha mchango na umuhimu wa mwanamke katika jamii.picha
katika kuhakikisha kuwa wanawake wanapata kutambuliwa katika jamii ndo maana ilipangwa siku maalumu kwa ajili ya Wanawake duniani,imekuwa ni utaratibu duniani kuwa kila inapofika tarehe 08/03/2015 huwa wanawake wanasheherekea siku yao ambapo yanafanyika mengi katika makutano yao,Ijuma pili hii wanawake wote duniani watakuwa wana sheherekea siku yao.
Hivyo basi si mbaya kwa baba,mama na familia zote kwa ujumla kukusanyika kwa pamoja nakusheherekea katika kuadhimisha siku ya mwanamke duniani.
Ahsante kwa kusoma makala hii fupi na nikuombe uendelee kufuatilia glogu yetu ya #hillabreeze.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

 
Blogger Templates