FidQ ametangaza kufanya kolabo na wakali kutoka Kenya Sauti soul jambo ambalo limewafanya mashabiki wa mtu mzima FidQ kuhisi kuwa huenda jamaa akawa anataka kuhama katika aina ya muziki anaoufanya.
FidQ amefunguka kupitia 255 ya Cloudsfm ''mi kufanya kolabo na sauti soul sawasawa na mi kufanya kolabo na Nuru wel au kufanya kolabo labda na Diamond platnumz au Alikiba au muimbaji yeyote yule bado ntasound kama mimi kama nilivo fanya kolabo na Matonya kwenye Usinikubari haraka haihusiani kwamba ntarainika wala nini,ngoma tayari tumesha fanya actuary saivi mchakato uliopo ni kuweza kuikamirisha alafu kuikalia chini ili kuitengenezea sript ili kuweza kui shoot ofcourse ni FidQ,kutoka niliwaomba wananchi nitoke na ngoma nyingine au nifanye video? wananchi wakasema hawataki ngoma nyingine wanataka video ya bongo hiphop,kwahiyo video ya bongo hiphop imesha toka kama deni ko kinachofuata ni ngoma hiyo kutoka.
Unaweza ukaitazama video ya FidQ - Bongo hiphop hapa
No comments:
Post a Comment