Social Icons

Pages

Thursday, 12 March 2015

Linex adondosha single mpya na chupa lake aliyo mshirikisha Diamond platnumz

Ni wiki kadhaa zimepita tangu kuwepo kwa uvumi wa kolabo kati ya Diamond platnumz na Linex ambapo Linex aliahidi kuingia tena studio na mtu mzima Diamond kwaajili ya kufanya ngoma nyingine baada ya Taificha wapi ,kolabo ambayo haikufanya poa sana wakati imetoka.
Leo Linex ameachia Audio ya hit yake ambayo inaitwa Salma imefanywa na producer Tuddy Thomas na Video ambayo imeongozwa na Adam Juma Nextlevel.Itazame
 

Tuesday, 10 March 2015

New Video;Gelly Warhymes - Iyolele

                                                                                                                                                                                                              
Leo nimekusogezea hii Video mpya ya kwake Gelly Warhymes,ngoma inaitwa Iyolele ambayo imeongozwa na kampuni ya Kwetu Studios,itazame hapa pia usisahau kuacha coment yako....
                                                                                                                                                                         
                                                                                                                                                                                                                                                                         

Monday, 9 March 2015

FidQ;kufanya kolabo na watu laini hakuwezi kubadili uhadiko wangu

Hivi karibuni Ngosha a.k.a Fid Q aliachia video ya hit yake ya Bongo hiphope,video ambayo imeonekana kuwa tofauti sana ukilinganisha na video zake zote zilizo pita hapo awali.
FidQ ametangaza kufanya kolabo na wakali kutoka Kenya Sauti soul jambo ambalo limewafanya mashabiki wa mtu mzima FidQ kuhisi kuwa huenda jamaa akawa anataka kuhama katika aina ya muziki anaoufanya.
FidQ amefunguka kupitia 255 ya Cloudsfm ''mi kufanya kolabo na sauti soul sawasawa na mi kufanya kolabo na Nuru wel au kufanya kolabo labda na Diamond platnumz au Alikiba au muimbaji yeyote yule bado ntasound kama mimi kama nilivo fanya kolabo na Matonya kwenye Usinikubari haraka haihusiani kwamba ntarainika wala nini,ngoma tayari tumesha fanya actuary saivi mchakato uliopo ni kuweza kuikamirisha alafu kuikalia chini ili kuitengenezea sript ili kuweza kui shoot ofcourse ni FidQ,kutoka niliwaomba wananchi nitoke na ngoma nyingine au nifanye video? wananchi wakasema hawataki ngoma nyingine wanataka video ya bongo hiphop,kwahiyo video ya bongo hiphop imesha toka kama deni ko kinachofuata ni ngoma hiyo kutoka.
Unaweza ukaitazama video ya FidQ - Bongo hiphop hapa

Tazama kipande kidogo cha video katika show ya Diamond platnumz Nigeria

Usiku wa March 07/2015 ilifanyika show kubwa ya utoaji tuzo za filamu Nigeria ambapo Diamond platnumz alikuwa ni mmoja wa wasanii ambao walikuwa maalumu kwaajili ya kutumbuiza katika stage ya utoaji Tuzo.
Wasanii wengine ambao walihudhuria katika show hiyo kwaajili ya makamuzi on stage ni pamoja na Psquare,2face,Iyanya,wakali wa Doro puchi na wengine wengi.
Tazama kipande kidogo cha show ya Diamond platnumz wakati anaimba hit yake ya Mdogomdogo
Endelea kufuatilia blog yako kwa kila update,tunapatikana #instagram #facebook na #youtube  kwa jina la hillabreeze

Sunday, 8 March 2015

Diamond platnumz kupiga show Nigeria weekend hii katika usiku wa Tuzo za AMVCA Nigeria

Mkali ambaye ameendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania kwa kasi kubwa nje ya mipaka ya Afrika Mashariki Diamond platnumz,alidondoka nchini nigeria kwaajili ya show ya utoaji tuzo za AMVCA,tuzo zinazo husu tasnia ya filamu Afrika ambazo zimefanyika usiku wa March 07/2015 huko Nigeria.Team wasafi yaani WCB ilipost picha katika mtandao wa instagram zinazo muonesha Diamond akihojiwa na vyombo vya habari Nigeria kabla ya kwenda kukagua stage.picha
 Diamond akihojiwa na waandishi wa habari
mtu mzima Dangote akikagua stage katika hatua ya mwisho.

Saturday, 7 March 2015

Siku ya wanawake Duniani

Ni ukweli usiopingika kuwa wanawakw ndio muhimili mkubwa katika jamii,wanafarsafa wengi duniani wamekuwa wakiendelea kutumia farsafa zao dhidi ya kuielimisha jamii kuhusiana na umuhimu wa wanawake katika jamii,kiukweli mwanamke ni chanzo na chachu kubwa ya maendeleo katika jamii na kuna usemi usemao kuwa "ukimuelimisha mwanamke ni sawa na kuwa umeelimisha jamii kwa ujumla",misemo yote hiyo ina dhamira moja tu ya kutuonesha mchango na umuhimu wa mwanamke katika jamii.picha
katika kuhakikisha kuwa wanawake wanapata kutambuliwa katika jamii ndo maana ilipangwa siku maalumu kwa ajili ya Wanawake duniani,imekuwa ni utaratibu duniani kuwa kila inapofika tarehe 08/03/2015 huwa wanawake wanasheherekea siku yao ambapo yanafanyika mengi katika makutano yao,Ijuma pili hii wanawake wote duniani watakuwa wana sheherekea siku yao.
Hivyo basi si mbaya kwa baba,mama na familia zote kwa ujumla kukusanyika kwa pamoja nakusheherekea katika kuadhimisha siku ya mwanamke duniani.
Ahsante kwa kusoma makala hii fupi na nikuombe uendelee kufuatilia glogu yetu ya #hillabreeze.blogspot.com

Tazama picha za kile kilichokuwa kinaendelea katika show ya Alikiba #Chekecha cheketua pande za Club La Liga #Moshi

March 06/2015 ilifanyika bonge la show la yule Mfalme Kiba ikiwa kama sehemu ya mwanzo wa Tour yake ambayo kwa mara ya kwanza imeanzia mkoani Kilimanjaro katika Club La Liga Moshi,zifuatazo ni picha zinazo onesha kile kilichokuwa kinaendelea pande zile pale....

Picha Alikiba,baba yake Mwana FA & Abdu

kiba akifanya makamuzi on stage
Madada waki Cheketua na Abdu kiba
Yule mkali wa gitaa Pasia Roso dithaa akifanya yake
baadhi ya watu walio hudhuria katika show
konga la watu walio hudhuria katika shwo
Alikiba akifanya yake on stage
Abdu kiba na Pasia Roso wakifanya yao on stage
Abdu kiba akiwa na mwanadada Recho

Mwamba wa Kaskazini Joh makini akamata chart ya juu kwa chupa la XO katika kituo cha Soundcity Nigeria

Ni kwa muda sasa muziki wa bongo flaver umekuwa ukiendelea kufanya poa sana na kuvuka mpaka katika mipaka ya Afrika Mashariki,lakini pia imekuwa ni kawaida kwa kituo cha Television Soundcity kinacho patikana Nigeria kurusha list ya Video 10 bora za Afrika Mashariki,good news ni kwamba kwa wale mashabiki wa mkali kutoka Weusi Joh makini time hii video ya hit yake ya XO imekamata nafasi ya  Nne (4) kati ya zile 10 wiki hii,itazame hapa......



Alikiba azidi kunesha kuwa yeye ni mfalme wa Bongo flaver Tanzania baada ya show yake ya Moshi #cheke tour

baada ya kufanya poa sana na hit yake ya mwana, Alikiba hivi karibuni alirudi kivingine na ngoma mpya ya chekecha cheketua ngoma ambayo mwanzo wake umeonekana kuwa ni mzuri kulingana na mapokezi kwa mashabiki wake pamoja na media kwa ujumla, sasabasi Alikiba alitangaza rasmi kuanza tour yake ya show kwaku pita katika baadhi ya mikoa nchini akiwa na team yake.
Na ijumaa ya 06/03/2015 Alikiba alianza rasmi tour yake inayo julikana kama chekecha cheke tour mkoni Kilimanjaro, show ilifanyika katika kiwanja cha Club La Liga ambapo kwa mara ya kwanza Alikiba aliipafomu Chekecha cheketua Live huku akitumua vyombo.
Alikiba alisindikizwa na Recho kutoka TH & Abdu Kiba lakini pia palikuwa na special appearence ya wazazi wake Mwana FA yana baba na mama mzazi,Kiba amebainisha kuwa leo ni zamu ya Atown a.k.a Arusha flaaaani ivi.
Salute kwa MillardAyo.com kwa msaada wa picha, endelea kufuatilia blogspot yako kwa infoz zooooooote kali.

Tazama namna ambavyo Mzee Majuto huwa anatisha katika kazi yake ya Sanaa ya Uigizaji

Sote tunatambua kuwa huwezi kuzungumzia list ya wasanii wakongwe wenye vionjo vya mvuto katika tasnia ya filamu Tanzania ukamuacha yule nguli katika kipengele cha comed #king Majuto almaarufu kama Mzee Majuto,mmoja kati ya wasanii ambao hawachoshi kuwatazama kulingana na ubunifu katika kazi zao,leo nimekusogezea kipande kidogo kinacho kuthibitishia ukali wake.........
Endelea kukaa karibu na mimi katika  #Youtube #instagram & #facebook kwajina hilihili la #hillabreeze ni weze kukusogezea kwa kila linalo nifikia kila siku

FidQ avunja kauli ya wapenzi wa bongo flaver Tanzania,Nisher muongoziji ahusishwa ndani


 
Blogger Templates