Thursday, 8 September 2016
Tuesday, 6 September 2016
Monday, 5 September 2016
Friday, 2 September 2016
Monday, 29 August 2016
Tuesday, 23 August 2016
Wednesday, 17 August 2016
LADY BRIGHT - SHEBEDUA (Official music audio)
NEW AUDIO: LADY BRIGHT - SHEBEDUA
Tuandikie maoni yako dhidi ya mdundo huo, upate kwa Whatsap 0621879710
Friday, 12 August 2016
Monday, 8 August 2016
TAZAMA PICHA ZA BIRTHDAY YA PRINCES TIFFA MTOTO WA DIAMOND PLATNUMZ
kwenye picha ni Princes Tiffa akiwa na baba yake Naceeb Abdul a.k.a Diamond platnumz
hapo mtoto Tiffa akiwa na mama yake Zari Hassani a.k.a Zari the bosslady,
Ifuatayo ni video clip imeyo pambwa na mpangilio mzuri wenye mkusanyiko wa picha za sherehe ya kuzaliwa mtoto huyo wa mastaa wanao ng'aa barani Afrika kwa sasa...
Saturday, 6 August 2016
DIAMOND PLATNUMZ AKANUSHA ALIKIBA KUWA SEHEMU YA KUTOKA KWAKE
staa wa muziki anaye ng'aa kwa sasa kutoka nchini Tanzania Naceeb Abdul a.k.a Diamond platnumz amemkana hit maker wa AJE Alikiba kuwa hakuwa sehemu ya mafanikio yake kutoka katika kuwa msanii chipukizi hadi kuwa msanii maarufu anaye fanya vizuri Afrika kwa sasa.
Akihojiwa na kipindi cha PLANET BONGO cha East Africa radio Platnumz ameweka wazi ya kuwa wakati ana hangaika kwa kipindi kile Alikiba alikuwa chini ya lebo ya G rekodi hivyo isingeweza kuwa rahisi kwa yeye kuweza kum pushi kwa kipindi kile, pia ameweka bayana kuwa kwa kipindi kile haikuwa rahisi kwa msanii kum beba msanii mungine kulingana na hali halisi ilivyokuwa.
msikilize hapa chini
Monday, 1 August 2016
Alikiba awakosha mashabiki wake kwenye harusi
Msanii anayefanya vizuri na wimbo wake wa AJE alio mshirikisha mkali kutoka Nigeria M.I, Alikiba amewakosha mashabiki wake alipo hudhuria katika harusi ya ndugu yake hivi karibuni akiwa na familia yake akiwemo mama yake mzazi, abdu kiba na mdogo wake wa kike, Alikiba aligusa hisia za mashabiki wake baada ya kupewa nafasi ya kutoa neon kwa maharusi na wageni walio alikwa hatimaye kuimba kipande kidogo cha wimbo wake wa ADE na hili ndo lililo tokea....
hatahivyo Alikiba yupo nchini Afrika kusini ambako alienda ku shoot remix video ya ADE na
msanii M.I wa Nigeria, hivyo mashabiki wa muziki wa Alikiba wakae mkao wa kula kwa ujio huo wa remix baada ya original video kutoka.
Yule dada wa picha za utupu aweka wazi ukweli wa picha zile
Inawezekana tukawa tunaendelea kufurahia uwepo wa mitandao ya kijamii ingawa kwa namna moja tunaendelea kujitangaza kibiashara na kurahisisha mawasiliano kama moja ya faida ya maendeleo ya teknolojia, katika upande mungine wa sarafu mitandao imekuwa ikitumika vibaya ikiwa ni pamoja na picha za utupu kuwekwa wazi, jambo ambalo lina shusha thamani ya watumiaji kwa namna moja ama Nyingine.Hivi karibuni zilisambaa picha za utupu zinazo muonesha mwanamke mmoja ivi akiwa na mwanaume kitandani na kuashiria kuwa kuna tendo ambalo lilikuwa linaendelea, picha hizo zilienea sana na kusambazwa Zaidi kwa mtandao wa Whatsapp, hatimaye mwanadada ambaye pia ndo muhusika wa picha zile amepatikana na kufunguka ukweli wa kusambaa kwa picha zile.
Zifuatazo ni videos mbili zinazo muonesha mwanadada huyo akihojiwa na GLOBAL ONLINE TV dhidi ya nini kilicho tokea.......
hiyo ndo sehemu ya kwanza
huo ndo muendelezo wake
ENDELEA KUFUATILIA ___A5.COM & A5TV
Mashabiki watokwa mapovu kwa Baraka de prince
Hitmaker wa SIWEZI ambaye pia ni msanii mpya wa Rock star 4000 BARAKA THE PRINCE hivi karibuni ame break the internet baada ya kuonekana kupigwa chenga na kiingereza katika mahojiano na kituo cha MTV kilichopo Afrika kusini hatimaye kusaidiwa na mpenzi wake anayejulikana kama NAJ, hatimaye wawili hao wameingia katika headlines tena baada ya BARAKA THE PRINCE kupost video katika mtandao wa picha yani Instagram inayo waonesha wawili hao wakiwa katika mahaba mazito nakupelekea mashabiki kutoa mitazamo tofauti tofauti.
Kwenye picha ni Baraka the Prince na Naj
Kama ulipitwa na video hiyo tazama hapa chini kisha tupe maoni yako........
ENDELEA KUFUATILIA __A5.COM & A5TV
kidogo ya diamond platnumz yazua kizaa zaa mitandaoni
Staa wa muziki kutoka nchini Tanzania Diamond platnumz anayefanya vizuri kwa sasa na hit yake ya KIDOGO aliyo washirikisha mapacha kutoka Nigeria wanaojulikana kama Psquare, anapitia wakati mgumu kwa sasa katika mitandao ya kijamii kufuatia mapungufu ya video yake mpya ya KIDOGO, Diamond hivi karibuni aliachia video yake mpya na kuijenga furaha kubwa kwa mashabiki wa muziki wake pamoja sura nzima ya muziki wa Afrika mashariki.
Hatimaye furaha imegeuka na kuwa huzuni baada ya wajuzi wa mambo kufuatilia na kugundua kuwa ubora wa chupa hilo mpya ambalo linafanya vizuri katika runinga tofauti tofauti Afrika kuwa ni kopi ya videozi mbalimbali za wasanii wakubwa wa Marekani ikiwemo ya msanii TIGER, tazama uchambuzi huu hapa chini......
ENDELEA KUWA KARIBU NASI KOTE TUNAPO PATIKANA ALAMA YETU NI _ A5TV & A5.COM
Thursday, 21 July 2016
Wednesday, 20 July 2016
Monday, 18 July 2016
Sunday, 17 July 2016
Saturday, 16 July 2016
Sunday, 10 July 2016
Monday, 4 July 2016
Sunday, 3 July 2016
Saturday, 2 July 2016
Friday, 1 July 2016
Wednesday, 15 June 2016
Tuesday, 14 June 2016
Sunday, 12 June 2016
Video; cheka na mabinti washamba alafu wanajifanya wanajuaaaa
Uskose kufuatilia vituko katika ubunifu wa hali juu kutoka kwa kwa Mr VIJITABIA
Saturday, 11 June 2016
Video;Young killer akila raha na demu wake
Jinsi ambavyo Young killer huutumia wakate wake akiwa nyumbani kwake
Friday, 8 April 2016
Millian wa Kenya akuletea hii akiwa na Diamond platnumz
Msanii mkongwe wa muziki wa RnB kutoka Kenya aja na ngoma nyingine aliyo mshirikisha Diamond platnumz kutoka nchini Tanzania,wimbo unaitwa "Nyota ya Mashariki".
Hivi karibuni nyota wa muziki kutoka Tanzania Naseeb Abdul a.k.a Diamond platnumz amekuwa akipata mashavu tofauti tofauti kutoka kwa wasanii wengi Afrika, hata hivyo wimbo wa "Make me sing" wa kwake Diamond na A K A wa Afrika kusini unafanya vizuri katika kituo kikubwa cha Trace Urban kilichopo nchini Nigeria.
Tazama wimbo huo hapo chini........
Jeshi la polisi la wanasa majambazi mkoani Mbeya
Jeshi la polisi mkoani Mbeya limefanikiwa kuwa kamata majambazi watatu mkoani humo ambao wanakabiriwa na kesi ya uvamizi wa benki ya NMB uliotokea hivi karibuni,tazama Video zinazo onesha majibishano ya risasi kati ya askari na jambazi katika eneo la njia panda mkoani humo.Sunday, 24 January 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)