Social Icons

Pages

Saturday, 6 August 2016

DIAMOND PLATNUMZ AKANUSHA ALIKIBA KUWA SEHEMU YA KUTOKA KWAKE

staa wa muziki anaye ng'aa kwa sasa kutoka nchini Tanzania Naceeb Abdul a.k.a Diamond platnumz amemkana hit maker wa AJE Alikiba kuwa hakuwa sehemu ya mafanikio yake kutoka katika kuwa msanii chipukizi hadi kuwa msanii maarufu anaye fanya vizuri Afrika kwa sasa.


Akihojiwa na kipindi cha PLANET BONGO cha East Africa radio Platnumz ameweka wazi ya kuwa wakati ana hangaika kwa kipindi kile Alikiba alikuwa chini ya lebo ya G rekodi hivyo isingeweza kuwa rahisi kwa yeye kuweza kum pushi kwa kipindi kile, pia ameweka bayana kuwa kwa kipindi kile haikuwa rahisi kwa msanii kum beba msanii mungine kulingana na hali halisi ilivyokuwa.
msikilize hapa chini


No comments:

Post a Comment

 
Blogger Templates