Social Icons

Pages

Monday, 1 August 2016

Mashabiki watokwa mapovu kwa Baraka de prince

Hitmaker wa SIWEZI ambaye pia ni msanii mpya wa Rock star 4000 BARAKA THE PRINCE hivi karibuni ame break the internet baada ya kuonekana kupigwa chenga na kiingereza katika mahojiano na kituo cha MTV kilichopo Afrika kusini hatimaye kusaidiwa na mpenzi wake anayejulikana kama NAJ, hatimaye wawili hao wameingia katika headlines tena baada ya BARAKA THE PRINCE kupost video katika mtandao wa picha yani Instagram inayo waonesha wawili hao wakiwa katika mahaba mazito  nakupelekea mashabiki kutoa mitazamo tofauti tofauti.
Kwenye picha ni Baraka the Prince na Naj
Kama ulipitwa na video hiyo tazama hapa chini kisha tupe maoni yako........
ENDELEA KUFUATILIA __A5.COM  &  A5TV
 


No comments:

Post a Comment

 
Blogger Templates