Alikiba awakosha mashabiki wake kwenye harusi
Msanii anayefanya vizuri na wimbo wake wa AJE alio mshirikisha mkali kutoka Nigeria M.I, Alikiba amewakosha mashabiki wake alipo hudhuria katika harusi ya ndugu yake hivi karibuni akiwa na familia yake akiwemo mama yake mzazi, abdu kiba na mdogo wake wa kike, Alikiba aligusa hisia za mashabiki wake baada ya kupewa nafasi ya kutoa neon kwa maharusi na wageni walio alikwa hatimaye kuimba kipande kidogo cha wimbo wake wa ADE na hili ndo lililo tokea....
hatahivyo Alikiba yupo nchini Afrika kusini ambako alienda ku shoot remix video ya ADE na
msanii M.I wa Nigeria, hivyo mashabiki wa muziki wa Alikiba wakae mkao wa kula kwa ujio huo wa remix baada ya original video kutoka.
No comments:
Post a Comment