Social Icons

Pages

Monday, 1 August 2016

kidogo ya diamond platnumz yazua kizaa zaa mitandaoni

Staa wa muziki kutoka nchini Tanzania Diamond platnumz anayefanya vizuri kwa sasa na hit yake ya KIDOGO aliyo washirikisha mapacha kutoka Nigeria wanaojulikana kama Psquare, anapitia wakati mgumu kwa sasa katika mitandao ya kijamii kufuatia mapungufu ya video yake mpya ya KIDOGO, Diamond hivi karibuni aliachia video yake mpya na kuijenga furaha kubwa kwa mashabiki wa muziki wake pamoja sura nzima ya muziki wa Afrika mashariki.
Hatimaye furaha imegeuka na kuwa huzuni baada ya wajuzi wa mambo kufuatilia na kugundua kuwa ubora wa chupa hilo mpya ambalo linafanya vizuri katika runinga tofauti tofauti Afrika kuwa ni kopi ya videozi mbalimbali za wasanii wakubwa wa Marekani ikiwemo ya msanii TIGER, tazama uchambuzi huu hapa chini......
ENDELEA KUWA KARIBU NASI KOTE TUNAPO PATIKANA ALAMA YETU NI _ A5TV & A5.COM
 

No comments:

Post a Comment

 
Blogger Templates