Social Icons

Pages

Monday, 1 August 2016

Yule dada wa picha za utupu aweka wazi ukweli wa picha zile

Inawezekana tukawa tunaendelea kufurahia uwepo wa mitandao ya kijamii ingawa kwa namna moja tunaendelea kujitangaza kibiashara na kurahisisha mawasiliano kama moja ya faida ya maendeleo ya teknolojia, katika upande mungine wa sarafu mitandao imekuwa ikitumika vibaya ikiwa ni pamoja na picha za utupu kuwekwa wazi, jambo ambalo lina shusha thamani ya watumiaji kwa namna moja ama Nyingine.
Hivi karibuni zilisambaa picha za utupu zinazo muonesha mwanamke mmoja ivi akiwa na mwanaume kitandani na kuashiria kuwa kuna tendo ambalo lilikuwa linaendelea, picha hizo zilienea sana na kusambazwa Zaidi kwa mtandao wa Whatsapp, hatimaye mwanadada ambaye pia ndo muhusika wa picha zile amepatikana na kufunguka ukweli wa kusambaa kwa picha zile.
Zifuatazo ni videos mbili zinazo muonesha mwanadada huyo akihojiwa na GLOBAL ONLINE TV dhidi ya nini kilicho tokea.......
hiyo ndo sehemu ya kwanza
huo ndo muendelezo wake
ENDELEA KUFUATILIA ___A5.COM & A5TV

No comments:

Post a Comment

 
Blogger Templates