Social Icons

Pages

Friday, 8 April 2016

New music audio;Edu boy_Mdumange ft Mr T-touch


Millian wa Kenya akuletea hii akiwa na Diamond platnumz


Msanii mkongwe wa muziki wa RnB kutoka Kenya aja na ngoma nyingine aliyo mshirikisha Diamond platnumz kutoka nchini Tanzania,wimbo unaitwa "Nyota ya Mashariki".
Hivi karibuni nyota wa muziki kutoka Tanzania Naseeb Abdul a.k.a Diamond platnumz amekuwa akipata mashavu tofauti tofauti kutoka kwa wasanii wengi Afrika, hata hivyo wimbo wa "Make me sing" wa kwake Diamond na A K A wa Afrika kusini unafanya vizuri katika kituo kikubwa cha Trace Urban kilichopo nchini Nigeria.

Tazama wimbo huo hapo chini........

Jeshi la polisi la wanasa majambazi mkoani Mbeya

Jeshi la polisi mkoani Mbeya limefanikiwa kuwa kamata majambazi watatu mkoani humo ambao wanakabiriwa na kesi ya uvamizi wa benki ya NMB uliotokea hivi karibuni,tazama Video zinazo onesha majibishano ya risasi kati ya askari na jambazi katika eneo la njia panda mkoani humo.
 
Blogger Templates