Mwanadada Vanessa Mdee ametoa shukrani kwa mashabiki wake wa Tanzania baada ya kuteuliwa kuwania Tuzo za KTMA katika vipengele vitatu (3)
historia inaonesha kuwa tangu afanikiwe kuchukua Tuzo kama Best female of East kwakupitia Tuzo za AFRIMA mwaka jana,milango ya mafanikio kwa mwanadada Vanessa Mdee imezidi kufunguka ambapo hivi karibuni alifanikiwa kufanya kolabo na msanii mkubwa kutoka Afrika Kusini #KO
Leo kwakupia akaunti yake ya instagram Vanessa ameandika ujumbe ikiwa kama sehemu ya shukrani kwa mashabiki wake "Thank you for the love and the three nominations at the Kilimanjaro Tanzania Music Awards Amazing feeling to be appreciated and aknowledge".Hii ni baada ya list ya nominees na nominations kwa upunde wa KTMA kutangazwa rasmi leo.
Wednesday, 29 April 2015
Tuesday, 28 April 2015
Syril Kamikaze aachia video mpya ya hit yake ya Nikikuona
mkali kutoka Singida Syril Kamikaze leo ameachia video ya hit song yake ya #nikikuona,hii ni baada ya ngoma hiyo kufanya poa sana katika radio stations mbalimbali nchini na kufanikiwa kukamata mpaka charts tofauti tofauti,video imeongozwa na #Young Wallace ambapo jamaa amejitahidi kuonesha asili ya kitanzania,itazame hapa chini.......
asante kwa kutembelea katika blogspot yetu,wasiliana nasi kwa ajili ya kuweka TANGAZO lako hillabreeze.blogspot.com AU www.youtube.com/hillabreeze - Tupigie simu NO;0656176504 / 0714509928.ASANTE
mkali kutoka Singida Syril Kamikaze leo ameachia video ya hit song yake ya #nikikuona,hii ni baada ya ngoma hiyo kufanya poa sana katika radio stations mbalimbali nchini na kufanikiwa kukamata mpaka charts tofauti tofauti,video imeongozwa na #Young Wallace ambapo jamaa amejitahidi kuonesha asili ya kitanzania,itazame hapa chini.......
Subscribe to:
Posts (Atom)